Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka. Mashabiki siku zote huwa ndio watoaji; wanatoa fedha kwa ajili ya kiingilio, wanatoa muda wao, wanatoa...
Yani mtu kafungwa tu jana....
"oooh kocha afukuzwe"
"Mpira una siasa tumefanyiwa siasa"
"Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20"
Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda ligi mfululizo zaidi ya mara x2 , wamemfunga mpinzani mfululizo na wametoka kumfunga tu juzi hapa...
Inasikitisha sana kuona kijana analia kisa timu yake imefungwa.
Lakini huyo huyo kijana hutamuona kamwe katika harakati za kupambana na kupinga viongozi wanao kula pesa za uma!!
Unadhani kama sio sisi Nchi yetu itajengwa na nani? Nani atapambana Kwa niamba yetu kuhakikisha tuna time huru ya...