ushabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  2. Bila ushabiki, hebu wapange hawa wachezaji 1 hadi 3 kwa Kuzingatia ubora wao: Eto'o, Henry na Raul

    Moderator pliz edit heading
  3. Tusiwekeze sana maisha yetu kwenye ushabiki wa soka, tuzikumbuke familia zetu

    Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka. Mashabiki siku zote huwa ndio watoaji; wanatoa fedha kwa ajili ya kiingilio, wanatoa muda wao, wanatoa...
  4. Ushabiki wa soka bongo umegubikwa na ushamba na haswa watu wanashabikia kwa msongo (depression)

    Yani mtu kafungwa tu jana.... "oooh kocha afukuzwe" "Mpira una siasa tumefanyiwa siasa" "Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20" Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda ligi mfululizo zaidi ya mara x2 , wamemfunga mpinzani mfululizo na wametoka kumfunga tu juzi hapa...
  5. Bila ushabiki, hebu wapange hawa makipa 1 hadi 5 kwa Kuzingatia ubora wao: Dida, Casillas, Buffon, Cech na Julio Cesar

    Kwa kuzingatia ubora wa makipa hawa bila ushabiki, panga kulingana na ubora wao waliowahi kuonesha kipindi wanacheza Soka kuanzia 1 hadi 5: Julio Cesar – Aliwahi kuwa bora duniani akiwa na Inter Milan, akijulikana kwa wepesi wake na uwezo wa kuokoa mipira ya mbali, lakini kiwango chake kilikuwa...
  6. Kuna kundi la watu fulani kwasababu ya ushabiki wao wanaichukulia USA poa

    Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
  7. Tukiweka ushabiki maandazi pembeni, pale Mashariki ya Kati zinaongea akili ukubwa tu!

    Ndio, tukiweka ujinga ujinga mwingi pembeni pale mashariki ya kati zinaongea akili kubwa tu. Hebu fikiria Iran inarusha kombora linavuka Iraq na Siria na kutua Israel tena mjini kabisa. Hata kama halijaua mtu lakini fikiria watu waliokaa mpaka wakaja na hiyo silaha! Wenzetu wanatumia akili...
  8. Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
  9. Hivi ndivyo ushabiki wa mpira unavyoweza kuwageuza watu wendawazimu

    Kuna watu walikusanyika kweli kabisa kwa ajili ya hili tukio! Haipaswi kuwa hivi kabisa katika jamii ya watu waliostaarabika na wanaojielewa.
  10. Ushabiki wa mpira wa miguu ni uwendawazimu ambao umehalalishwa

    Ukiutafakari kwa kina ushabiki wa mpira wa miguu utagundua kwamba sio kitu kingine isipokuwa uwendawazimu ulio halalishwa...
  11. Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
  12. Tuweke ushabiki pembeni, kuna kitu cha kujifunza kutoka Hamas

    Mimi ni pro Israel kweli kweli. Ila ni mtu mwenye msimamo wa kujifunza kutoka kwa mtu yeyote hata kama ni adui Yangu Ukweli ni kwamba safari hii Israel amekutana na kisiki. Vita hii ni ngumu sana kwa Israel. Haijawahi kutokea tangu kuundwa kwa taifa la Israel. Vita zote za nyuma Israel alikuwa...
  13. Pre GE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi. 3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
  14. Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

    Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa. Israeli hostages killed...
  15. Simba na Yanga: Jinsi ushabiki wa mikeka ulivyoua ushabiki wa mpira

    Zamani kabla mikeka haijaingia hapa nchini mashabiki wa mpira walikuwa na ushabiki halisi kwa timu zao pendwa. Nakumbuka mechi kati ya Man United na Arsenal iliyochezwa mwaka 2003. Van Van Nistelrooy alikosa penati dakika za majeruhi. Siku hiyo kulikuwa na mshawasha mkubwa sana miongoni mwa...
  16. S

    Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

    Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo. Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k. Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule. Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya...
  17. Ushabiki wa timu oyaoya bila kadi unakera sana

    Ushindi wa timu yako unanoga na kufurahisha sana kama ukiwa mwanachama hai. Iko siku wanachama hai watapata gawio la fedha mbali na lile gawio la sasa la furaha viwanjani. Mpira ni pesa twendeni tukakate kadi za timu zetu ili nasi tuwe sehemu kamili ya uendeshaji wa timu zetu. Ukiwa mwanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…