Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake wanatarajiwa kuanza kutoa ushahidi Februari 6, 2025.
Kesi hiyo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu kama Boni Yai.
Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
Polisi katika kituo kimoja huko india Wamewalaumu Panya kwa kuharibu kilo 200 za bangi iliyokuwa imetunzwa kama ushahidi wa kesi ya jinai.
Mahakama ilinukuu kauli tatu za kesi zibazofanana na hizo na kusema, Panya ni viumbe wadogo sana wasioogopa hata polisi, Ni ngumu kulinda bangi wasiiharibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.