Ndugu zangu Watanzania,
Hifadhini sana huu uzi,shikeni sana haya maneno yangu,kaeni na hili andiko katika kumbukumbu zenu,kaeni na jiandaeni kwa jambo hilo na tambueni ya kuwa Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kumalizika ngazi ya Taifa hapo Mapema Mwakani .mtashuhudia Lissu akihama na kuondoka...