ushauri kwa baba mkwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lelulelu

    Je, ni sahihi nikimwambia baba mkwe matatizo yangu lakini mke wangu (mwanae) asijue?

    Baba mkwe ndio mtu pekee anaeweza kunisaidia, ila sitaki mke wangu ajue maana ni msumbufu. Je, baba mkwe wangu anaweza kuliweka moyoni bila kumwambia mwanawe ishu yangu.
Back
Top Bottom