Habari wana jf
Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu
familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa ushuru na TAX CLEARANCE KILA MWAKA NA MAKADIRIO YA TRA pia baba alikuwa mzabuni katika shule...
Kuna mtu anaomba ushauri nikaona niwashirikishe wanafamilia wa jf,
Ana million moja na nusu anataka kununua bodaboda used namba d ampe mtu ampe elfu nane kwa siku au afungue saluni za mtaani kinyozi ampe elfu saba kwa siku
Wazoefu wa biashara izo toeni ushauri
Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
Nina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu.
1. Saloon na kuingiza movies na nyimbo.
2. Bodaboda ya million 1.2 dar napata nzuri.
3. Kinglion pikipiki dar ya lak 9. Then lak 4 nibebe balo...
Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki
Natamani kufanya biashara
Nimesoma Degree ya business administration. So...
Chukulia wewe ni mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa kwenye biashara yako na hivyo unafahamika kwa watu wengi. Siku moja unapigiwa simu na namba ngeni, na baada ya kuipokea, aliyepiga anajitambulisha kuwa anaitwa Makini.
Baada ya utambulisho, Makini anaanza kujieleza kilichomfanya akupigie...
Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho nacho?
Location Dodoma: Nasoma comments naheshimu sana ushauri wenu wakuu.
Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani
Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani
Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi
Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
Nampango wa kuanza biashara ya kuuza mtumba (men jeans) kwa kufungua mabalo plz jeans yeyote ndugu zangu mwenye ujuzi Naomba ushauri kuhusu biashara ya hii pia naombani kwa anaejua wauzaji wa mabalo kwa Arusha
Habari,
Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii.
Ombi langu ni ushauri/uzoefu/changamoto, ni biashara gani/bidhaa gani zinalipa kwa sasa kuanza nazo,ninatarajia kuuzia zaidi online...
Wakuu nawasalimu kwa Jina la JMT.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimekuja humu ndani kupata ushauri wa Biashara ya Malori haya ya kubeba mizigo iwe ya Local ama Transit.
Kutokana na Connection nilizonazo nadhani suala zima la kupata Mizigo ya Kusafirisha halitokuwa la kuumiza kichwa...
Habari wakuu,
Natumai mmeunza vyema mwaka huu mpya. Nijikite kwenye mada yangu.
Mimi ni kijana ninaemaliza chuo mwaka huu 2021. Baada ya kuona changamoto ya ajira mtaani hasa kipindi kile cha likizo ya corona mwaka jana nimeona hata kupata kazi tu ya kujishkiza ili kusukuma maisha ni kazi mno...
Mshauri wa biashara, Mjasiriamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya ushauri Wa biashara ya CPM Business consultants, anatoa Ushauri Wa biashara kwa Mkampuni, vikundi na watu binafsi kwa gharama nafuu ya sh. 20,000 tu. Pia ukitaka kupata huduma zetu tutakupa mafunzo ya ujasiriamali kwa mwaka mzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.