Salamu Wana bodi,
Tafadhali sana, leo kwa pamoja mnipe ushauri kama mdogo wenu na kijana anayepambania ndoto na maisha yake.
Mwezi wa saba, kwa neema ya MUNGU, namaliza shahada yangu ya kwanza ya elimu katika masomo ya sayansi hapa DUCE. Kama ilivyo mazingira ya taifa letu na ugumu wa maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.