Hii inawakuta watu wengi kwenye mapenzi, mtakuwa mashahidi kwamba kuna muda kama mapenzi yanapungua kwa mwenza wako. Ili kuepuka hali hii ni vyema kila mmoja akawa mbunifu zaidi ili kulifanya penzi lenu liwe moto moto kila wakati. Moja ya eneo la kuzingatia, ni kitandani, yaani wakati wa tendo...
Habari,
Kuna rafiki yangu mmoja nilizoeana nae mda kidogo na tunafamianane kutoka na biashara zetu yeye anaumri wa 43 now. Ila kwa sasa anahali mbaya ya kiafya anaumwa magojwa yasiotibika haya kupona haiwezakani kabisa.
Sasa miaka kadhaa ya nyuma alipata mchepuko, katika kukutana na mchepuka...
Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!
Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya...
I hope every Tanzania back home is doing pretty fine. Today I would love to share with a brief talk on how as man you can trick women and girls so that they may forced to chase you
Basically this a Psychology Thread so if you can picture yourself as a person capable of doing these following...
Wadau naomba msaada wenu.
Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.
Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema...
Wadau, habari zenu.
Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa heshima ya kaka na mimi nikimuona kama dada yangu mdogo.
Sasa kisanga kikaanza, siku moja tukiwa...
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.