Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini imezindua kamati maalumu ya ushauri wa kisheria na kliniki ya sheria bila malipo mkoani Mwanza ikiwa ni hatua ya serikali ya kutatua migogoro ya kisheria inayosababisha baadhi ya wananchi kuishtaki Serikali.
Akizungumza jijini Mwanza Mkaguzi wa...
Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote...
Kuna sehemu nilipata kazi private sector sasa yapata mwezi mmoja umepita,mkataba nilisaini sehemu yangu ile ya employee ila employer hakua amesaini,nikamkabidhi HR wa kampuni na taratibu nyingine za kuwa on borded zikafuatwa.sasa mpaka Leo hr hajanipa copy ya mkataba wangu ambayo imesainiwa na...
Habari wanajukwaa,
Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili:
Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja.
Kufanya kazi kwa mwezi...
Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
Naomba kujua, hivi ikitokea kuna vikundi viwili vinashtakiana mahakamani na kikundi kimoja kikashindwa na kingingine kilichoshindwa kikakaidi kutumia hiyo hukumu, na kushirikiana na wizara wanaendelea kuvunja hiyo hukumu.
Nini kinachoweza kufanyika ili kuondoa huu mkorogo?
Hasa vikundi vya dini.
Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.
Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?
Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
Mzee wetu kasha fariki kaacha wake wawili na watoto 8 kila mke ana watoto wanne. Mzee kaacha nyumba moja na kiwanja kimoja na shamba. Nyumba moja anaishi mke mdogo na kiwanja kimoja, mke mkubwa watoto wake wamejenga nyumba, wanaishi na mama yao, na kwenye shamba wao wanafanya shughuli zao za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.