Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka...
Baba mkwe ndio mtu pekee anaeweza kunisaidia, ila sitaki mke wangu ajue maana ni msumbufu.
Je, baba mkwe wangu anaweza kuliweka moyoni bila kumwambia mwanawe ishu yangu.
Don't Marry because of SEX
Don't Marry because u are getting OLD
Don't Marry because u are of AGE
Don't Marry because u are LONELY
Don't Marry because u need someone to support you FINANCIALLY
Don't Marry because u got PREGNANT for him
Don't Marry because u don't want to LOSE the PERSON,
Don't...
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea.
Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.