ushauri wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kila mkipishana anatoa kauli hizi! Zimebeba ujumbe gani?

    Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli; 1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie! 2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi! 3. Be free with your things, me ni nani...
  2. M

    Kila anachoomba anapewa lakini hataki kutoa penzi

    Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi. Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye...
  3. Afanyeje ili aweze kumsahau mwanaume anayempenda na kuendelea na maisha yake?

    Habari yako, Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili. Kuna kitu kinaniumiza sana kichwa kiasi kwamba kuna muda nashindwa hata kusoma vizuri. 🥹🥹 Kuna mkaka mmoja tulikutana tu kawaida kipindi mimi ndo naanza form five, lakini mpaka namaliza form six bado nilikuwa naye. Sasa baada ya...
  4. Ujumbe wa Leo: Usiingie kwenye mahusiano kwa sababu ya imani ya mtu, kila kitu kipe nafasi yake kwa wakati wake

    1. Usioe au kuolewa na mtu kisa anahofu ya Mungu!, kwasababu swala la imani ni swala la uelewa na muda wowote mtu anaweza kubadili mawazo,ama kuamini tofauti na alivyokuwa akiamini awali!. kwa ufupi ni kwamba usaliti hutoka kwenye wema. Tafuta mtu muelewa mwenye upeo wakuweza kujua thamani yako...
  5. Mapenzi hayashauriki, sio kwamba hatuwezi kukuambia ukweli juu ya mwenza wako

    Ukitaka kukorofishana na mtu, mwambie ukweli kuhusu mahusiano yake. Mahusiano huwa hayataki ushauri. Utamwambia vizuri tu kumsaidia, muache, kesho wapo wote na wanakusema. Kitu pekee kwenye mapenzi ninachoweza kukushauri ni namna ya kuishi na msongo wa mawazo. Mapenzi hayashauriki, wewe si...
  6. Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  7. M

    10 Reasons why you should not marry while you are still young

    There are many reasons why waiting until later in life may be advantageous, even though some individuals may feel ready to get married at an early age. Photo: LS Archive/Sazzad Ibne Sayed Marrying young can be problematic because there are many possible obstacles and traps. Before deciding to...
  8. Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
  9. Wananiandama kisa kanizidi miaka mitatu, niendelee na mpango wa kukamilisha uchumba?

    Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili, Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
  10. Ngono na kifo vipo karibu, umeoa/umeolewa tulizana na ndoa yako

    Habari wa jukwaa, Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje? Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani. Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima...
  11. Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

    Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu. Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha. Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
  12. Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua...
  13. Q

    USHAURI: Je, ananipenda au ndiyo jinsi alivyo?

    Habari zenu wadau, kuna dada mmoja tunafanya nae kazi ofisi X. Huyu dada ni mshikaji wangu since day one maana tulianza kazi siku moja na siku ya interview tulikua wote sema tulikua hatujazingatiana sana. Sasa kipindi naanza kazi siku ya kwanza Paa hyu hapa tukatambulishwa pale maana ndo...
  14. Je, hii ni sawa?

    Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada. Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi ni marafiki tuu wa kawaida na wengine ni wafanyakazi wenzake. Ok nilikubali na kuwaona wote. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…