ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Walevi : Pombe mbaya jamaa jana nimetukanwa sana na Mlevi

    Na huu ni ushauri kwa walevi wote wanaoishi Duniani. Walevi naongea na walevi wote dunia nzima wale wastaarabu nawaweka pembe ila walevi ambao sio wastaarabu huu uzi unawahusu, mkishalewa tafadharini sana ndugu zangu walevi nendeni mkalale acheni matusi na kuongea lugha chafu na kumtukana mtu...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, uenyekiti kura yangu kwa Mbowe, M/Mkiti kura yangu kwa Heche

    Hiyo combination ni sahihi? Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei. Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship. Lissu - Wenje it will be a worse combination...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kidogo

    Wakuu habari za jumapili, Nilikuwa ninaomba ushauri kidogo. nyinyi mahusiano yenu mnayaendeshaje sababu mimi kila mwanamke ninaedate nae huwa lazima aniambie mambo ya kujiongeza sijui mimi ni bahili sana au vp??? Coz mara zote huwa simpi mwanamke wangu hela bila kuniomba so. Naomba mnisaidie...
  4. JamiiForums Tanzania Satr Anise zipi ni salama? nimesoma mahali kuna zenye sumu. Noamba ushauri kabla sijazitumia

    Wakuu wangu habari za wakati huu.. Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi peruzi kabla sijanywa nikakutana na hili tishio huku lisemalo star anise za kichina ndiyo salama...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TEMESA hasa kunapokuwa na ambulance kivuko cha Mv Kazi

    Kila mara tunajribu kuwaambia kwa vile panton ni moja kipind hiki, nyakati za dharula msiwe mnajaza magari line tatu. Hii itasaidia vipi? Itasaidia abiria kuingia kwa haraka na kuondoka haraka kuliko magari yakiziba full matokeo yake watu wanaingia kwa kupenya. Leo ambulance maskini mgonjwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi

    Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: BBC, CNN, VOA au Aljazeera, mumuhoji Erick Kabendera juu ya madai yake kuwa Magufuli alimpiga risasi Ben Saanane

    Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi. Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wadau

    Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje
  9. G

    JamiiForums Tanzania Najutia kufuata ushauri mlionipa kumuonea huruma muuza duka auze bidhaa zake, wachache mlionishauri niweke huruma pembeni mnajua biashara

    Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani? Summary / Muhtasari: Msaidizi aliniomba aanze kuuza bidhaa zake, Sina uzoefu sana kwenye biashara niliona nitakuwa kauzu nikimkatalia, nilitaka kuonekana...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mdahalo wa Wagombea Uwenyekiti Chadema Taifa

    Utangulizi Mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa unatarajiwa kufanyika tarehe 18/01/2025, na ni tukio muhimu linalohitaji maandalizi makini ili kuhakikisha kwamba wagombea wanajitambulisha vyema kwa wajumbe na wapiga kura. Katika muktadha huu, tunatoa ushauri kwa Chief Odemba ili...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

    Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo. Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke...
  13. JamiiForums Tanzania Bachelor in Applied Geology ina soko kwa sasa?

    Jamani naomba kujua je, bachelor in applied geology ina soko kwa saa hizi??
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS (Mwabukusi) anaikosea heshima TLS

    Nawashauri TLS kumshauri Rais wao Mwabukusi kujiepusha na siasa chafu za chadema. Kweli katiba inamruhusu kushabikia Upande anaotaka lkn yeye kama kiongozi wa mawakili nchini na anaeongoza Taasisi alioita pinzani kwa ccm ni vizuri kukaa kimya katika kipindi hichi, kuegemea kwa LISSU huku...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa wajumbe wa CHADEMA, kula kwa Mbowe ila Kura kwa Lissu.

    Naomba niwashauri wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA, pesa zikija au kuletwa kwenu kuleni bila huruma ila kura mpigieni mwanamageuzi Lissu. Ushauri wangu kwenu ni kwamba kuleni kwa Mbowe ila kura mpigie Lissu. Asanteni kwa kunielewa.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Habari za mda huu Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli? Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza...
  17. JamiiForums Tanzania Kila mwenye ushauri mzuri aje amshauri Lissu. Mimi naanza na ushauri huu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri pale ninapoona inafaa mimi kufanya hivyo. Bila kupoteza muda na kuchosha wasomaji ukiwemo wewe...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri Kwa Huyu Msichana Nimefanya Kosa Au Ni maringo yake tu

    Ebwaana Eeh Kilichonikuta jana Kabla ya mkesha wa Xmass Ni balaa! Kuna kimchepuko kimoja nilikipenda kutokana na kuwa ni kizuri sana na kina umbo zuri sana nikaona sio mbaya nikitongoze.. Mtoto yule nimemtongoza Ila akawa ananitolewa nje ooh Mimi nakupenda sana ila ningependa tuwe kama kaka na...
  19. JamiiForums Tanzania Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa

    Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa kuwa kuanzia saa Fulani Hadi Fulani kutakuwa na jambo Fulani kwahiyo hamtakuwa hai wakati huo. Lakini Kwa sasa asilimia kubwa ya mifumo mingi ya taasisi za Umma kukiwa na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

    Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi? Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha. Huduma Zetu ni Pamoja na: Kufuatilia mambo yako ya TRA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…