ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tundu Lissu na CHADEMA kama chama, sikiliza ushauri huu wa Ansbert Ngurumo

    1. Lisu kusema kwa ukali na makeke hakutaitisha CCM. CCM ni waovu, hawatishwi na maneno! 2. Mama yuko agressive supreme of power! hatishiwi na maneno makali/kelele za juu kama za Heche na Lisu! 3. Watanzania mnaowategemea kushinikiza NO REFORMS, NO ELECTION, ili kuleta REFORMS, hawako kama...
  2. Ofa kwa wanaotaka kufungua kampuni na wanaomiliki kampuni au biashara ya aina yoyote

    Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia 22-02-2025 hadi 31-03-2025 kwa kuzingatia vigezo na mashariti ya ofa kama ifutavyo: 1.Kwa wateja...
  3. mpenzi wangu anaficha mshahara wake! ushauri jamanii

    ushauri wenu jamaniii mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu...
  4. Pre GE2025 Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa TISS Kuhusu Kero Sugu ya Uhalifu wa Kiuchaguzi Unaofanywa na Wanasiasa Matapeli Wakati wa Chaguzi tangu 2010 hadi 2024

    I. USULI Usanifu wa hoja makini hufanyika kwa ajili ya kufanikisha angalau lengo mojawapo kati ya malengo manne yafuatayo: kutafuta jawabu la swali linaloleta mahangaiko kwenye akili za watu (inquiry), kufanya ushawishi ili watu baki wakubali hitimisho lako la kiutafiti (convincing)...
  5. Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia (Permanent Ink for Plastic)

    Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa...
  6. T

    Naomba ushauri

    Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025 Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
  7. A

    Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
  8. Pre GE2025 Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili, kiongozi bora anakubali ushauri wa wananchi

    Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
  9. Naomba ushauri wanangu juu ya maneno ya Yesu Eloi Eloi alipokuwa akilia sijui Mungu kweli analia na kumlilia mungu mwingine!!1

    Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani aliyemtengeneza? Je Mungu asingemtengeza shetani, hawa watu wetu wangepotoshwa na nani? Je alimtoa kwa...
  10. Anza Safari Yako ya Mafanikio– Pata Ushauri wa Kitaalamu Sasa!

    Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
  11. Anza Safari Yako ya Mafanikio– Pata Ushauri wa Kitaalamu Sasa!

    Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
  12. Ushauri wenu jamani

    Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia na wanangu, tunagombana kiasi kwamba sasa hivi hata tendo la ndoa hakuna. Si kama ananip*iga wala...
  13. R

    Ushauri wenu ndugu zangu

    Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili ananipenda na mimi nampenda. Yeye naye ni mfanayakzi lakini katika kampuni binafsi. Kikipato namzidi hilo...
  14. Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

    Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:- Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
  15. Q

    Naombeni ushauri Wenu ni Muhimu nimechanganyikiwa

    Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu...
  16. J

    Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  17. M

    Naomba ushauri wa kisheria kuhusu bima ya maisha

    Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote...
  18. JAMVI la wanawake: Maono na ushauri wa wazazi

    Ushauri gani ulipewa na mzazi, iwe ni baba au mama, ukaufuata na umekusaidia kufika mpaka hapo ulipo? Naanza: “Atayekulisha ni mwema, ila utampa pia uwezo wa kukulaza njaa wakati wowote atakapoamua - jishughulishe na hakikisha hauwi tegemezi”. Ushauri kutoka kwa baba yangu (Mungu amrehemu)...
  19. Ninaomba ushauri wa uwekezaji wanaJF

    Kama nilivyowaambia awali, yule shemeji yenu Mkenya alienda nchi za Gulf kufanya kazi. Sasa imepita miezi miwili, na kila akipokea pesa huwa ananitumia Ksh 10,000 kila mwezi. Kwa haraka haraka, ni kama Tsh 200,000 za mama Kizimkazi. Pesa anazonitumia ni za kujikimu tu, lakini mimi nina pikipiki...
  20. M

    Mpenzi wake alidanganyika na plans za muongo wa mtandaoni akamwacha hustler, sasa anaomba ushauri

    was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…