Ripoti ya “Viashiria vya Nguvu Laini Duniani Mwaka 2025” imetolewa hivi karibuni huko London, Uingereza, na nafasi ya China imepanda hadi pili duniani. Hii ni mara nyingine ya kupanda kwa nafasi hiyo ya China, baada ya kupanda kutoka nafasi ya tano hadi nafasi ya tatu mwaka jana. Nafasi hii...
China imebadilisha uchumi wake katika miongo miwili hadi mitatu iliyopita na kujenga uhusiano wa kibiashara na Afrika.
Takriban miongo mitatu iliyopita, sehemu ya biashara ya China na Afrika ilikuwa asilimia 3 pekee. Hata hivyo, kufikia mwaka 2012, takwimu hizi ziliongezeka kwa kasi hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.