China imebadilisha uchumi wake katika miongo miwili hadi mitatu iliyopita na kujenga uhusiano wa kibiashara na Afrika.
Takriban miongo mitatu iliyopita, sehemu ya biashara ya China na Afrika ilikuwa asilimia 3 pekee. Hata hivyo, kufikia mwaka 2012, takwimu hizi ziliongezeka kwa kasi hadi...