Huku lindi kuna shughuli za rusha roho mataraabu au unyago mtoto anachezwa yaani kama kipindi hiki ndo zimefululiza kila siku na hasa weekend unakuta mtaani maspika yanapiga tu visengeli vigodoro vinachezwa nyumba mpaka nyumba watu wanagarauka na wanafupana pesa na sio siri watu wanapata hela...