Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala
Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris
Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald Trump ameshinda jimbo la Pennyslavania, jimbo ambalo kwenye chaguzi nyingi huamua nani atakuwa Rais...