Hawa motivational speakers ni watu wanaokula kwa kuuza matumaini yaliyovuka uhalisia kwa watu wanaojitafuta au kukata tamaa.
Unapoingia kwenye biashara kwenye nchi kama Tanzania umeingia kwenye competition ua kikatili sababu mazingira yamejaa rushwa, siasa, ndumba, sheria legevu, n.k. usipokuwa...