ushindani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Nimegundua EPL ni ushindani wa ndan huku UEFA Kuna watu wake

    Hii ni baada ya Liverpool kufungwa na PSG kutoka league 1 je liver wangekutana na BARCA ingekuaje
  2. Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

    Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema, "Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
  3. Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  4. Siku zote Lissu hushinda katika ushindani mgumu

    1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha Lisu hawi mbunge. Katika uchaguzi mgumu kabisa, matokeo yake Lisu alishinda na kutangazwa kuwa mbunge...
  5. L

    Si rahisi kwa Marekani kujijengea jina kwa kujiingiza kwenye ushindani na China kwenye ujenzi wa miundombinu barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
  6. W

    Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  7. Ujasusi Kwenye Ushindani wa Kibiashara

    Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”. Mazingira haya yamehawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni’ Fursa. Haya ni mazingira chanya...
  8. Pre GE2025 Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA-TAIFA hauna ushindani kabisa, ni Uchaguzi mwepesi mno

    Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
  9. M

    Yanga hawabebwi, wana timu nzuri na ya ushindani ndani ya uwanja na wana mikakati ya maana sana nje ya uwanja

    Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao. Kunambia...
  10. Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  11. X

    Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  12. Itakuwa vigumu Prof. Janabi kupenya ushindani wa Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ila tutumie vigezo sahihi kumpima.

    Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika mahitaji ya mtu anayetakiwa katika hiyo nafasi. Pamoja na hayo nakubiliana na wanaosema CV ya Janabi...
  13. B

    Serikali kuendelea kuboresha miundombinu ili sekta ya baiashara iwe yenye ushindani, viwango vya kimataifa

    Na Mwandishi Wetu. WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali ya Awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombinu ili sekta ya Biashara iwe na ushindani wenye viwango vya Kitaifa na Kimataifa. Waziri Jafo ameyasema hayo...
  14. T

    CCM ni chama kioga zaidi kwa ushindani wa kidemokrasia kinaongoza Kusini mwa Jangwa la Sahara na AfriKa kwa ujumla!!

    Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake binafsi ndani ya chama, yaani mnampa fomu mgombea mmoja. Ukiangalia kwa makini kilichojificha nyuma ya kituko hicho ni kuogopa changamoto za ushindani ndani ya chama ingawa changamoto hizo zingesaidia sana wananchi kupata chaguo bora la wakati ila wao...
  15. U

    Mchezaji kucheza mechi za ushindani siku mfululizo

    Naona kama hili linataka kupita bila kujadiliwa humu na wadau wa soka, sijajua kama limejadiliwa na wachambuzi wetu katika redio zetu za FM. Nasor Saadun alicheza mechi ya ushindani akiwa na Azam dhidi ya Yanga tarehe 2/11/2024, na game ilikuwa ngumu sana. Tarehe 3/11/2024, Nasor Saadun...
  16. Ushindani Mdogo, Faida Kubwa: Mwongozo wa Biashara kwa Wenye Mtaji Tanzania!

    Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma. Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini hilo linahusu sekta zote. Swali muhimu ni, umejiandaa vipi kushindana na wale walioanza mapema? Ni...
  17. Tume ya Ushindani tieni jicho kwenye Elimu

    Shule zote za mjini na vijijini, serikali na binafsi, zenye walimu na zisizo walimu, zenye vifaa vya kufundishia na zisizokuwa na vifaa vya kufundishia zoote zinatungiwa mtihani mmoja wa taifa, wanafunzi wanagombania nafasi za kujiunga na vyuo vikuu na ufadhili (scholarships) mbalimbali. Je...
  18. Tujifunze kuwaambia watu tunawakubali, kuliko kuwaiga na kufanya ushindani.

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu..... Tujifunze ku normalize kuwaambia watu kwamba wana tu inspire kwa matendo yao au style ya maisha yao, kuliko kujaribu kuwa kama wao na kuanzisha competition. Binadamu hatupo sawa, kila mtu ana uwezo wake na umahiri wake katika jambo fulani, lakini...
  19. Ushindani uliowahi kusumbua mziki wetu miala ya 2000

    Juma nature vs inspector haruni ECT vs wanaume family TID vs Dully sykes Matonya vs MB dog Marlaw vs Alikiba Saida karoli vs maua Diamond vs Belle 9 River camp vs N2N Zay B vs Sister P
  20. P

    Sio siri tena! Tumia mbinu hizi tatu kuua ushindani unaokabili biashara yako

    Kuna njia kuu tatu tu za kuua ushindani kwenye biashara yako Moja kuwa bidhaa ya bei nafuu kuliko zote sokoni .... Mpaka sasa sijui ni mbinu gani bora ya kupambana na bei sokoni Mtu akikushinda kwenye bei ni majanga ... Pili, Ni kuwa na uwezo wa kufikisha bidhaa au huduma kwa wateja ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…