"Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele...