"Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022...
Habari!
Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana.
Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa?
Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi.
Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
Hongereni sana Yanga SC Timu ya Wananchi kwa Tamasha la jana mlifunika. Mlijaza viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru.
Wachezaji walionyesha kandanda safi kwa asilimia 73 kwa 27. Pasi zao zilikuwa za uhakika na hata Makamu wa Rais alifurahishwa na kutamka ni timu gani kama Yanga.
Mmefunika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.