ushirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  2. Bilioni 16 kutolewa ili kuliokoa shamba la ushirika Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani

    Na MWANDISHI WETU WIZARA ya Kilimo imekubali yaishe kwa kuwa tayari kulipa shilingi bilioni 16 ili kuliokoa shamba la ushirika, Chauru, la wakulima wadogo wa Umwagiliaji Ruvu, lililopo Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainika katika muendelezo wa ziara za Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe mkoani humo...
  3. Naibu Waziri Silinde: Vyama vya Ushirika Vijijini ombeni Uwakala wa kusambaza mbolea

    Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati. Amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli...
  4. R

    Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  5. R

    SoC04 Vyama Vya Ushirika kwa Wafugaji

    Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini ufugaji wake mwingi umekuwa wa kienyeji, Sifa inakuwa kuwa na mifugo mingi lakini ufugaji huo siyo wa...
  6. Mkataba wa Taikon na Mchungaji Jonathan Kanjunju kuhusu ushirika wangu katika kanisa lake

    MKATABA WA TAIKON NA MCHUNGAJI JONATHAN KANJUNJU KUHUSU USHIRIKA WANGU KATIKA KANISA LAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baada ya kukutana na Mchungaji Jonathan Kanjunju wa Kanisa la Cherubim of paradise "The Church of the Cherubim of Paradise" lililoko jijini Dar es salaam. Huu ni mwaka...
  7. R

    Serikali imechelewa kulipa vyama vya ushirika fedha zao, wana ushirika waanza kulalamika kushindwa kukopeshana kwa ukosefu wa fedha

    Ukikaa kwenye gambe lazima uwe na akili nyingi kama siyo maarifa. Walevi sometimes hatuna siri na tukipayuka tunaaminigi watu wote wameziba masikio. Nimesikia mjadala kwamba serikali imechelewesha kulipa vyama vya ushirika fedha zao. Wanachama wamekuwa wakali kwa kukosa fedha za sikukuu...
  8. Hoja ya kuwahamishia maafisa ushirika katika tume ya maendeleo ya ushirika na maafisa ugani chini ya Wizara ya Kilimo

    (Chini ya Kanuni za 60(2) na 61 za Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari, 2023) Mheshimiwa Spika, natambua kuwa mwaka 1998, Serikali ilifanya mabadiliko ya Muundo wa Serikali na kufanya uamuzi wa kugatua madaraka (Decentralization by Devolution) kutoka Serikali Kuu a kuyashusha ngazi ya...
  9. N

    Nafasi ya kazi ya Meneja Chama Kikuu cha Ushirika Kyela (KYECU)

    Ndugu wapambanaji wenzangu, hii hapa fursa ya ajira, hii nafasi ni nzuri sana kwa muhitaji wa ajira. changamkia.
  10. R

    Kagera: Viongozi wa Chama cha Ushirika Karagwe wahukumiwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 40

    KAGERA: Mahakama ya Wilaya Karagwe imewahukumu waliokuwa waajiriwa wa Chama cha Ushirika Caisalius Mathias Rugemalira (Kaimu Meneja), Renatus Gerald, (Kaimu Mhasibu) na Revelian M. Makune, (Mwenyekiti wa Bodi) kwenda jela Miaka 2 au kulipa faini ya Tsh. 1,800,00 kwa Ubadhirifu wa Fedha za Chama...
  11. Sura ya ushirika wa DP World na TPA katika mtazamo mwingine

    Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba, msome kwa umakini haya nitakayoyaandika hapa chini, mpime katika mizani ya bongo zenu,kisha mseme...
  12. Mbunge Condester Sichalwe: Wakulima undeni Vikundi vya Ushirika Ili muweze kukopesheka kwenye Mabenki kwaajili ya msimu Ujao wa Kilimo

    Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 22 Julai, 2023 ameendelea na ziara katika Kijiji cha Yala na kuzungumza na wakulima wa Kijiji hicho. Mbunge Condester Sichalwe amewashauri wananchi kuunda vikundi vya ushirika ili wavitumie kama dhamana ya kuchukua...
  13. L

    SoC03 Ushirika baina ya mfanyabiashara na mkusanya mapato

    Kumekuwa na mkanganyiko tati ya mkusanya MAPATO na mfanya biashara, kwakila mmoja kumuona mwenzake nimkosefu na mwisho wasiku husababisha mapoto kushuka, bila kujua wote wanafanya kazi moja yaukusanyaji kwaajili yakujenga Taifa. Nini kifanyike: Kwanza - Elimu itolewe kwa wafanyabiashara wajue...
  14. T

    Vyama vya Ushirika wa Kuweka na Kukopa punguzeni sherehe

    Vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa punguzeni sherehe. Mnazo sherehe nyingi kuliko kubuni mikakati mbali mbali ya kuondokana na umaskini. Angalia mabenki wanavyowashangaa. Kila mwaka sherehe sijui jukwaa la ushirika la wapi, umoja wa afrika mashariki, umoja wa vyama vya afrika, umoja wa...
  15. Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo. Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
  16. Lema ana ushirika na shirika la ujasusi la Kenya? George Wajackoya ni jasusi nguli la Kenya, ndilo lilimtorosha Tanzania

    George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lema Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na sasa ameingia Tanzania kumpokea. Lema ni agent wa shirika la...
  17. B

    TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
  18. TAKUKURU na DPP warushiana mpira kuhusu waliohujumu Chama cha Ushirika Kilimanjaro

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS), zinadaiwa kutupiana mpira kuhusu uchunguzi na mashtaka dhidi ya wanaodaiwa kuhujumu Chama cha Ushirika cha Usafirishaji Mruwia mkoani Kilimanjaro. NPS inafanya kazi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka...
  19. Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Picha: Mchungaji Eliona Kimaro Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo. Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
  20. N

    Kyela: Ubadhirifu na ufisadi chama cha ushirika KYECU

    UBADHIRIFU CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA KYELA (KYECU), NA UVUNJAJI NA UKIUKAJI WA MIONGOZO YA VYAMA VYA USHIRIKA Mimi ni mdau na Mkulima wa Kakao katika Wilaya yetu Kyela, Mkoani Mbeya. Kutokana na ushiriki wangu katika kilimo hadi mauzo, kuna mambo kadha wa kadha ambayo yanatukwanza kama wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…