Kuimarisha Mifumo ya Kisheria. Awali, serikali ya Tanzania iimarishe na kupanua mifumo yake ya kisheria ili kukuza usawa wa kijinsia katika ushiriki wa kisiasa. Ingawa asilimia 30 ya sasa ya wanawake katika Bunge la Kitaifa sio mbaya kwani imeongeza wigo na ushiriki wa wanawake, lakini kuna...
Miaka ya nyuma kidogo ilikua ni changamoto kubwa kuona wanawake wakishiriki kwenye siasa , lakini siku za karibuni sio jambo jipya sana japo Bado ushiriki wao sio wa kuridhisha lakini tumeona kwenye nafasi mbalimbali za kijamii, mashirika na taasisi na hata siasa wanawake wakifanya vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.