Miaka ya nyuma kidogo ilikua ni changamoto kubwa kuona wanawake wakishiriki kwenye siasa , lakini siku za karibuni sio jambo jipya sana japo Bado ushiriki wao sio wa kuridhisha lakini tumeona kwenye nafasi mbalimbali za kijamii, mashirika na taasisi na hata siasa wanawake wakifanya vizuri...