ushiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Baraza la mashauriano ya kisasa la China linapanua ushiriki wa watu kwenye demokrasia

    Mikutano Miwili ya China yaani Bunge la Umma la China NPC na Baraza la Mashauriano ya Kisasa la China CPPCC inaendelea hapa Beijing. Hivi ni vyombo viwili vikubwa vya uwakilishi wa umma katika mambo ya utungaji wa sheria na mashauriano ya kisiasa. Uwepo wa vyombo hivi viwili kwa pamoja, ni...
  2. Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni: Ujuzi na Gharama zatajwa kukwamisha wengi

    Ili kuongeza Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete amesisitiza umuhimu wa Mafunzo ili kuwapa Wasichana Ujuzi wa Kidigitali Ameshauri wigo wa upatikanaji wa Intaneti uongezeke, na gharama ya Huduma hiyo iwe nafuu ili kuwafikia Wanawake wengi zaidi...
  3. Digitali ni Nyenzo Muhimu Katika Kuongeza Ufahamu na Ushiriki wa Umma Katika Haki za Kijamii

    Teknolojia ya digitali imerahisisha mambo mengi katika dunia ya leo. Si tu imerahisisha mawasiliano na kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza biashara, bali imekuwa na umuhimu mkubwa katika kupaza sauti za wanyonge, kueneza taarifa, na kuongeza ushirikiano katika makundi mbalimbali ya watu...
  4. Ndoa za Kulazimishwa Zinawanyima Watu Uhuru na Kuathiri Ushiriki Wao Kamili Katika Jamii

    Ndoa ya kulazimishwa ni hali ambapo mtu amelazimishwa kuoa au kuolewa bila hiari yake. Ndoa ya kulazimishwa inaweza kutokea kwa shinikizo la kihisia, kifedha, kwa matumizi ya nguvu au vitisho, kwa kurubuniwa na wanafamilia, mwenzi, au wengine. Ndoa hizi zimepigwa marufuku na mikataba kadhaa ya...
  5. Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

    Mbona kama wazungu wanatuzidi akili? Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo? Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
  6. Mtazamo wangu kwa wana JF kwenye ushiriki wa mijadala ya kitaifa

    Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
  7. Tatizo nini matukio ya Ulawiti kuongezeka kwa kasi?

    Tanzania kila kukicha ni matukio ya ulawiti tu shida nini? Ushirikina, tamaa ya ngono, malezi ya hovyo au maadili? Irina mnafeli wapi? ---- Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha Ayubu Kiyanza (22) Mkazi wa Don Bosco Manispaa ya Iringa kwa kosa la kumlawiti Mtoto mwenye...
  8. Uzinduzi wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi, Septemba 19, 2022

    Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi. Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
  9. SoC02 Maji: Ushiriki wa jamii, uendeshaji na uibuaji wa miradi ya maji, utoaji taarifa na changamoto za utendaji na utatuzi

    Utangulizi. Tangu uwepo wa ulimwengu huu maji ni kimiminika ambacho kimekuwepo na kusaidia shughuli mbalimbali za uendeshaji na ujenzi wa ulimwengu tangu ikiwa tupu hadi sasa katika zama za sayansi na teknolojia iliyokubuhu (Post-science and technology society).Maji hayana mbadala,na wengine...
  10. SoC02 Ushiriki wa wananchi katika kudai uwajibikaji sekta ya kilimo

    Utangulizi Kwa kipindi kirefu kumekuwa na changamoto ya ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kuwajibisha viongozi wa serikali katika jamii zao. Hii imepelekea ufujaji wa radimali za umma katika sekta ya kilomo na kudhohofisha usalama wa chakula. Wananchi ni nguzo muhimu sana katika maeeleo...
  11. J

    CHADEMA watashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Nauliza tu kwa sababu huku mitaani hakuna ofisi wala bendera za Chadema Ni vema watutaarifu mapema maana kupanga ni Kuchagua Mungu ni mwema wakati wote
  12. R

    Ushiriki wa wananchi nguzo muhimu kwenye kuleta maendeleo

    Ushiriki wa wananchi katika mambo mbalimbali ya kijamii ni muhimu sana katika kuleta maendeleo kwenye jamii husika. Serikali ikiachiwa ifanye kila kitu wenyewe bila kushirikisha wananchi kwa umoja wao ama kwa makundi ni vigumu kufikia malengo yaliyowekwa, na kwa kufanya hivyo itakuwa ni sawa na...
  13. DRC yakataa ushiriki wa Rwanda katika kikosi cha kikanda cha kupambana na waasi nchini humo

    DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema hajali nchi yake kutengwa katika kikosi hicho Nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
  14. Ufanye ushiriki wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa salama kwako na kwa wengine

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Mitandao ya kijamii kwa zama zetu hizi imekuwa mtindo wa maisha na nguzo muhimu ambayo inawasaidia watu kupata taarifa, burudani, elimu, furaha, ajira, marafiki, wapenzi n.k. Mitandao hii imekuwa na nguvu kiasi ambacho imeanza kuzingatiwa kama miongoni...
  15. Tathmini ushiriki wetu Dubai Expo 2020

    Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Tulipata audience na wawekezaji serious? Mikataba gani tulisaini? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?
  16. Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  17. Kunyimwa Uhuru wa Kujieleza ni kunyimwa Haki ya msingi ya ushiriki katika maendeleo ya nchi yako

    Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu. Namna ambayo serikali...
  18. Kuhusu ACT - Wazalendo kuunga mkono Serikali, acha leo niteme nyongo

    (Tunafanya Siasa tusiyoijua) Nimeona na kusoma sehemu kadhaa makada na mashabiki wa chama cha Chadema wakilaani taarifa inayokinasibu chama cha ACT wazalendo kuunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo. Na niliiona nongwa hii tangu siku ya sherehe za mapinduzi...
  19. Elimu bora inahitaji ushiriki wa wazazi na walezi

    Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
  20. ZAFELA: Ushiriki wa Wanawake katika nafasi za maamuzi (hasa ya kisiasa) bado ni mdogo

    Na Salma Said, Zanzibar Ushiriki wa wanawake katika masuala uongozi ni jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele sana na watetezi wa haki za wanawake wakitaka kushirikishwa kikamilifu kama azimio namba tano la umoja wa kimataifa linalotaka asibakishwe mtu nyuma. Wadau wanatambua kuwa kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…