Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo na ujasiliamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa lengo likiwa ni kutoa mafunzo na vitendea kazi kwa Vijana ili waweze kujiajiri ili kupunguza changamoto ya Ajira, kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa...
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe.
Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Duniani kila mtu anapata wa kufanana naye na huu msemo kwangu mimi naendelea kuushikiria vizuri sana.
Sasa leo tujifunze kitu kupitia simulizi nzuri sana ya wanandoa hawa wawili ambao wote ni vipofu lakini wameonyeshana upendo wa kweli na kazi wanayoifanya inafanan na wanafanya kwa juhudi zote...
Natoa huduma ya embroidery, screen printing kwenye tshirts, kofia, uniforms, masweta, vitambaa, mifuko, mashuka, taulo za hotelini, tunaprint jezi.
General printing ya mabango, business cards, Brochures, Flyers,roll up banners, Signage, diaries na vikombe
Tunashona uniforms za aina zote za...
Fundi mzuri wa kushona nguo za kiume na kike, anahitajika; akiwa ni wakike itakuwa vizuri zaidi.
Malipo:
3000 kwa siku + 10% ya faida katika mauzo kwa mwezi
Faida zingine:
Chai ipo (free)
Chakula cha mchana kipo (free)
Eneo la kazi: Arusha au Moshi
Kama una huo ujuzi; utakutanishwa na...
Huwa naamini sana katika biashara zinazohusiana na ujuzi flani flani kwani najua hata kama utakosa mtaji pesa ila ujuzi wako utakusaidia kwenda kupata pesa ya kuanzisha biashara yako mwenyewe.
Nimekua na marafiki kadhaa ambao ni washonaji na wengine hata si marafiki zangu ila wengi kati yao...
FUNDI USHONAJI (FUNDI CHEREHANI) (TAILORS)
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kushona nguo kulingana na mahitaji ya mteja.
• Kufundisha na kushauri mteja kulingana na huduma anayohitaji.
• Kutunza vitendea kazi vya ofisi.
• Kusimamia kazi zote za mteja.
• Kuweka kumbukumbu nzuri za wateja.
• Kutathimini...
💥UNGEPENDA KUJIFUNZA KUSHONA?! HII NI NAFSI YAKO..💥
⚫JE, umemaliza darasa la saba, form 4 au form 6 umekaa nyumbani bila mwelekeo au umeajiriwa lakini unatamani kujifunza kushona iliupate side hustle ujiongezee kipato? Karibu uweze kujiunga na darasa letu la ushonaji @angelic_threadstz ili...
Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu!
Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa.
Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma!
Nahisi sinaga bahati na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.