Naomba kuwasilisha kero yangu ambayo imekuwa ya muda mrefu katika stendi kuu ya mabasi Dodoma ambapo wasafiri wanaoingia humo hulazimishwa kulipa ushuru wa halmashauri kiasi cha tshs 300/= hata kama tayari ana tiketi ya basi mkononi.
Hii ni tofauti na stendi kuu za mikoa mingine ambazo kama...