Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
====...
Wakuu pole na kazi.
Kuna baadhi ya members wamekua wakilalamika kwamba, wakicheki deni la parking ya gari kwenye website ya TARURA, wanakuta madeni ya sehemu ambayo hawajawahi ata kupeleka gari. Wengi tulidhani wanatania au ni mara moja au mbili tu.
Leo kuna mfanyakazi mwenzangu anasema...
Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=,
Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake.
Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
Siamini kabisa kwamba kuna wasomi walikaa sehemu wakajadili na kulipana posho za kikao kwamba:
Magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho (parking) Yaanze kufungwa minyororo ili kushinikiza wamiliki kulipia tozo hizo.
Huu ni utaratibu wa hovyo sana
1. Huu utaratibu ni Hovyo kwasababu...
Makusanyo ya maegesho ya magari jijini Dar es Salaam yanayokadiriwa kufikia Sh 25 milioni kwa siku huenda yakatoweka kutokana na mgomo wa wakusanya ushuru huo kutoka kampuni ya Excel Parking Service (EPS).
Wakusanya ushuru hao wamegoma wakidai kutolipwa mishahara yao miezi miwili.
Tofauti na...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri,
Kwanza kabisa mimi na raia mwema na sina nia ya kukwepa ushuru wa tarura tena ukizangitia fees zao ni ndogo sana kwa sasa (reasonable).
Niendelee, leo nimeangalia ushuru wa maegesho kwenye website ya TARURA nakukuta nadaiwa nilipoangalia maelezo ya Tiketi...
Nimeambiwa ushuru wa maegesho unakatwa mijini kuanzia saa moja na nusu hadi saa kumi na mbili jioni (07h30 hadi 18h00)
1. Sasa kama ushuru unalipwa kwa Lisaa (shs 500); Kwa nini wasiishie saa kumi na moja (17h00) ili walio lipia wapate muda wa kutumia walicholipia ; hii ni kama tunataka kuwa...
Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa!
Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana kupitia uhuni huu.
Hebu fikiria mtu anakupiga picha ukiwa kwenye FOLENI! kwenye foleni jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.