USIKATE TAMAA
Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa.
Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake.
Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa.
Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote
Amka sasa tuanze upya bila kukata...
Miaka kadhaa iliyopita nilifanikiwa kusoma Elimu ya sekondari lakini nilivyomaliza sikubahatika kufaulu kujiunga na kidato cha tano kwani nilipata daraja la 4, hivyo nilikua sina tumaini lolote na nkaona mimi na mambo ya kusoma ndio hivyo basi tena, ikabidi nijiunge na chuo kilichopo chini ya...
KILA SIKU KUNA WATU WANAFANIKIWA KWENYE MAZINGIRA UNAYOONA NI MAGUMU.
1. Kipindi unalaani mahusiano kuna ndoa kila siku zinafungwa.
2. Kipindi unasema hakuna ajira kuna wanaoajiriwa kila siku
3. Kipindi unasema biashara ngumu kuna ambao wanauza mpaka wanakataa wateja.
4. Ukisema mshahara mdogo...
inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa.
kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho.
pole sana rafiki...
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu.
Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana.
Ninapozungumzia umbali ninamaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na...
Ukiwa mvivu, mlegevu na asie na bidii, maarifa wala kujituma katika kufanya kazi, kila kitu kwako utaona kimekosewa, kina makosa, dosari au kasoro nyingi sana...
Utaishia kulala sana magetoni nyumbani na ukiamka utakunywa chai ya mama na kuanza kulalamika tu, kulaumu, kughadhabika na kuhemka...
Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken)
HISTORIA YAKE..
Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...
Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.
Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4.
Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa.
Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba.
Akiwa na miaka 20...
Habarini ndugu zangu..!
Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi.
MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA
Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...
Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
Mambo wakuu,
Tunafanikiwa kwa kuhangaika kila moja ajuavyo katika Maisha yetu.
Kuna wakati unahisi kukata tamaa na kujiona si mtu mbele ya watu, ila nikwambie Ndugu yangu, Mungu hana choyo wala kukusahau, bali ni suala tu la muda.
Tumia ulichonacho kufika utakapo.
Una cheti Cha form four...
Naomba usome kidogo!!!
Hii ni real siyo utani!
Mimi ni kijana wa miaka 32
Mnamo mwaka 2014 nilitoka nyumbani rasmi kuja mjini kutafuta maisha, Niliaga vizuri wazazi wangu nikawaahidi kuwa naenda mjini na nitapokelewa na rafiki yangu na ndie nitakayeishi nae.
Nilifika mjini na begi yangu ndogo...
Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
Lauryn Hill
Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill.
Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
USIKATE TAMAA VS MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MWENGINE HUFUNGUKA.
Sio kila kitu uking'ang'anie jifunze kujua mda sahihi wa kuondoka na kuachilia kitu ambacho sio sahihi kwako.
Point ni hivi, kama kitu kinakufanya unakosa amani, kinakufanya unadhohofika afya yako, kinakufanya uwe mbali na Mungu...
Binti mmoja alikuwa akiendesha gari akiwa na baba yake. Wakiwa njiani ghafla mvua kubwa ikaanza kunyesha na kuleta tufani, yule binti akamuuliza baba yake, "Nifanyeje?" Baba yake akamwambia "endelea kuendesha"
Magari yakaanza kusimama na kuegesha pembeni kwa kuhofia tufani ambayo ilikuwa kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.