Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
Ni usiku ambao hauchi, kulala hulali, usingizi hauji.
Leo nimekuja sehemu imebidi nilale, kuna mbu na joto balaa, hakuna fan, hakuna dawa za mbu, ni kaz juu ya kazi. Nimekumbuka sana nyumbani.
Pia soma: Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku
Usiku umekua mrefu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.