Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi.
Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu nafasi za kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Je safari hii Tume ina watu wake tayari?
Nimelia sana, nilipoiona hii taarifa.
---
Kuna upotoshaji umeenea kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo ina wajibu wa kuendesha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ibara ya Tano Ibara ya Tano, ibara ndogo ya tatu D, inasema, Bunge litatunga...