usimdharau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daima usimdharau usiyemjua, mwenzenu leo nimekutwa na jambo

    Niko zangu kibandani kwangu, hua nauza nguo kwa jumla na rejareja. Mara ghafula wanatokea watu wawili wachafu, mzee kwa umri zaidi ya miaka sitini akiwa amevalia suruali yenye viraka kila sehemu ila sehemu inayoonekana zaidi ni maeneo ya kwenye zipu ambapo pameshonwa na uzi mweupe wakati suruali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…