Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri...
Niende kwenye mada
Kwa dunia ilipofika sasa usimwamini kiumbe anayeitwa mwanamke hata awe dadako wa kuzaliwa tumbo moja (labda kidogo mama mzazi japo naye usiweke 100% kwa hawa mama wa kizazi kipya)
Nakumbuka kipindi flani nilikuwaga natoka kisirisiri na mke...
Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka!
Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani.
NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa mwingine.
Takbir!
Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku...
Miongoni mwa mambo hatari katika Mahusiano ni kuaminiana na kuambiana siri zenu. Naomba nitumie andiko la Biblia katika Kitabu cha Mika siyo kwa lengo la kufundisha imani fulani au dini ila Mahusiano.
Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili...
Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa, nimekuja kumgundua nimeshampenda tayr, na nisingekuwa nakaa naye pamoja hakika nisingemkamata...
Ya Christmas: MWANAMKE Akilewa NI HATARI SANA KWENYE MAHUSIANO.
Heri ya klisi-masi mabibi na mabwana[emoji4] Klisimasi ilikua na hekaheka nyingi Sana hasa hasa sisi wapenzi wa kuhama kiwanja hiki na kuhamia kiwanja kile. Jana ilkua sikU ya boxing day, Kama kawaida kujirusha hapa na pale...
Hili kundi sio la kuamini kabisa
Ukiona mtu hadi anafikia hatua anatoa nywele zote kichwani yaani yeye mwenyewe haziamini hata nywele zake ujue hapaswi kuaminiwa hua ni waongowaongo sana.
Na ukiona mtu anavaa shati mikono mirefu na anakunja kama Obama vile hawa watu kimbia kabisa mbali hawafai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.