Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nina mchumba ana miaka 29, tatizo langu ni kwamba mchumba wangu nimekuja kugundua ni muongo sana na mpaka kumgundua uwe na akili ya ziada kabisa, nimekuja kumgundua nimeshampenda tayr, na nisingekuwa nakaa naye pamoja hakika nisingemkamata...