Habari wakuu
Kuna binti kajifungua salama kwa njia ya kawaida leo saa 10 alfajiri akaruhusiwa kurudi nyumbani punde tu baada ya kujifungua.
Aliporudi nyumbani akapumzika kwa kulala yeye na mtoto kwa uchovu wa uzazi. Saa 1 asubuhi akaamka na alipojaribu kumuamsha mtoto alikuta ameshafariki...