usiombe

  1. S

    Usiombe kumuona mgonjwa wa COVID19

    Hili gonjwa lipo na siku ukibahatika kumuona mgonjwa wa COVID19,utataka siku hiyohiyo uchanjwe chanjo yake. Kama hujaona ndugu yangu basi omba usione wewe kubali kuchanjwa tu siku ikifika uachane na siasa.
  2. Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

    Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi? Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi...
  3. Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma. Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu. Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka ...
  4. Cheka, simulia, lakini usiombe yakukute

    Cheka, Simulia, Lakini Usiombe Yakukute Jamaa kaamka asubuhi kajikuta kageuka mdudu. Hii hapa simulizi yake, Die Verwandlung, imefasiriwa kwa Kiswahili. Ilichapishwa kwa Kijeremani mwaka 1915, mwandishi akiwa Franz Kafka. Asubuhi fulani, wakati Grego Samsa akiamka toka kwenye ndoto za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…