usitumie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Mheshimiwa rais usitumie mabilioni ya maskini Watanzania kushinda uchaguzi au kujitetea pale unapokosea

    Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk. Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
  2. Usitumie hii mbinu kwenye mapenzi utakuja kufa!

    Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!". Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!. Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta mpenzi harakaraka ili ku cover nafasi iliyoachwa wazi!. alikuwa binti fulani hivi ndembendembe...
  3. Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  4. Mstahiki Ramadhani Kapera Meya wa Tabora usitumie ubabe wajibu wananchi wako

    Mstahiki Meya dhamana uliyopewa kuiongoza manispaa ya Tabora usiigeuze fimbo ya kuwachapia wakazi wako. Mkazi mtu mzima alikuuliza swali kuhusu wale mnaowaajiri kwa kujuana na kuwapa kazi mishahara na vifaa vya usafi wa mitaro wako wapi mpaka muwalazimishe wakazi kufanya kazi hizo pasipo na...
  5. Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

    Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa. Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala. Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu...
  6. J

    Fanya yafuatayo kulinda afya ya uke

    Usafi wa uke ni jambo muhimu sana kwa afya ya wanawake. Mambo usiyostahili na unayostahili kufanya ili kutunza afya ya uke Usiingize kidole ndani ya uke kwa lengo la kujisafisha hiyo huondoa asidi ya asili ya uke ambayo ni muhimu kwa sababu huzuia bakteria kukua. Aidha usitumie sabuni kuosha...
  7. Rais wangu nakusihi chonde chonde usitumie vipaza sauti kuongea na viziwi

    Salaam! Hakuna jambo baya kama ushabiki au ufuasi katika dunia hii ya leo. Tumeshuhudia wengi wamefariki, wamejeruhiwa na kupoteza heshima kwa jambo linaloitwa itikadi, dini na siasa, imekuwa ni changamoto kubwa katika dunia yetu. Nakuomba uhubiri amani kama ilivyo jinsia yako na lea kila...
  8. January Makamba usitumie nguvu kukataza Mkaa. Bei ya Gesi ndio itaamua Matumizi

    Waziri Makamba mie nakuomba sana huu mtego wa kulazimisha matumizi ya Gesi ya kupikia wakati hata sio Raslimali ya nchi yetu yaani inaletwa kutoka nje ni hatari sana kwa Ustawi na Usalama wa Taifa letu. Ingekuwa hiyo gesi tunachimba wenyewe na tungeweka hata bei ya chini sana ambayo ingewafanya...
  9. Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

    Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
  10. Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
  11. Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

    Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro nyingi kama hizi;- 1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
  12. Usitumie hela nyingi kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa.. weka stock ya kutosha.

    Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza. Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
  13. Usitumie nywila (Password) moja kwenye mitandao yako tofauti ya kijamii

    Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama. Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
  14. U

    Tahadhari kubwa kwa mdau kamwe usitumie Neno " Nimefarijika" badala yake tumia Neno " Nimefarajika"

    Wadau wote hamjamboni Niwatahadharishe Ni makosa makubwa kutumia neno " Farijika" kwani linaleta maana mbaya Tumia Neno " Farajika" au "nimepata faraja" Aksanteni
  15. Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

    Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika. Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana...
  16. Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

    Kwema Wakuu! Lazima tutende haki, lazima tuseme ukweli. Wanawake wanamakosa Yao Kama tulivyo Sisi wanaume tunamakosa yetu. Na mwenye makosa lazima aadhibiwe, na akiomba Msamaha sharti asamehewa lakini adhabu inaweza kubaki palepale. Taikon huwaga ni mtu wa kuongea mambo magumu yasiyo rahisi...
  17. Usitumie mapenzi kuzurumu haki ya familia ya mpenzi wako

    Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo yanakufa. Atakayebaki na wewe katika majuto yako ya pesa, wadhifa, au umaarufu wako pale utakapoisha; ni...
  18. Usitumie nguvu kubwa sana mwanamke akupende. Utalia sana!

    Wasalaam, Kati ya vitu vingi mbavyo wanaume wengi huwa wanakosea ni pale wanatumia 'Nguvu' kubwa sana kuwapata hawa wanawake, hasa ikiwa ana malengo naye ya future. Kama ni mwanamke anayekusuuza roho ukimuona na wewe ukatumia nguvu kula 'msambwanda' uridhishe nafsi sawa. Ila sio kama una...
  19. B

    Rais Samia, tafadhali usitumie kodi zetu kwa ajili ya CCM

    Nimeshangazwa sana kwa kitendo ulichofanya jana mkoani Arusha kuugeuza mkutano wa hadhara wa Rais wa JMT kuwa mkutano wa kisiasa wa CCM. Ninakukumbusha kwamba gharama zilizotumika jana ni kodi zinazotolewa na Watanzania wote na yamkini waliokuwepo uwanjani ni watanzania wa vyama vyote na...
  20. J

    #COVID19 WHO: Usitumie dawa za maumivu (painkillers) kabla ya kupata Chanjo ya COVID-19

    Je, unatumia dawa za kupunguza maumivu kabla ya chanjo ili kuepusha athari (side effects) zake? Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonya kuwa inaweza kupunguza ufanisi wa chanjo. WHO inasema kuwa athari za kawaida za chanjo kama vile maumivu ya kichwa na uchovu mara nyingi hutokea kwa kiasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…