usomi

Bloomingdale is a village in DuPage County, Illinois, United States, settled in 1833, and 25 miles northwest of downtown Chicago. The population was 22,382 at the 2020 census.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  2. Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  3. J

    Hotuba za Tundu Lissu zinadhihirisha usomi wake. Kamuibua Amilcar Cabral. Wenyeviti wangapi wa vyama vya siasa wanamjua?

    Kinachomtofautisha Tundu Lissu wanasiasa wengi hapa Tanzania ni usomi wake. Jenerali Ulimwengu hakukosea aliposema kwamba kila anapozungumza Lissu yeye humsikiliza kwa makini sana. Mara nyingi katika mazungumzo yake Tundu Lissu lazima atatoa neno au somo jipya kwa wasikilizaji wake. Msikilize...
  4. Tuelewane: Hakuna mwenye hati miliki ya Yesu Kristo

    Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive. Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo. Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
  5. Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

    Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake. Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari. Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili...
  6. Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  7. Tusameheni, tufikirieni, onesheni usomi wenu kisimbuzi cha Azam na TANESCO

    King'amuzi ninacholipia ni kile cha Tsh 25,000/= napenda sana kuangalia NBC PREMIER LEAGUE na vipindi vingine, lakini sasa huu mchuano mkali wa mgao wa umeme imebidi niombe Suluhu. Wasomi wa Tanesco na wasomi wa Azam kaeni chini msugue BONGO zenu mje na suluhisho Tanesco mnanisaidia sana BILL...
  8. R

    Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

    Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM? Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? --- Winshear...
  9. M

    Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
  10. PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

    Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno. Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers...
  11. PhD ya Musukuma yazua gumzo, Chuo kilichomtunuku hakitambuliki

    Wachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo huko. Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima...
  12. Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani. Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…