usonji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Siku Ya Uelewa wa Usonji Duniani. Je, unawezaje Kumtambua Mtoto mwenye Usonji?

    Usonji ni changamoto ya Ukuaji ambayo hutokea pale ambapo Ubongo hufanya kazi kwa namna tofauti. Mtoto hupata changamoto hii anapokuwa tumboni na dalili huonekana kuanzia Umri wa Miaka Mitatu na kuendelea Watu wenye Usonji hupata changamoto hasa za Kuwasiliana Kijamii. Kasi ya kukua kiakili...
  2. MsLisa

    Naomba ushauri kuhusu usonji

    Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri. Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
  3. Damaso

    Namna bora ya Kuwasaidia Watoto wenye Usonji nchini Tanzania

    Usonji ni ugonjwa wa ukuaji unaoathiri idadi kubwa ya watoto duniani kote, ikiwa ni pamoja na wale wa Tanzania. Kwa bahati mbaya, kutokana na miundombinu duni ya nchi nyingi na rasilimali chache, hususani katika kusaidia watoto wenye usonji juhudi nyingi zimeonekana kukutana na changamoto...
  4. T Kaiza-Boshe

    Kitabu cha Safari ya Ushindi ya Mama na Mtoto Mwenye Usonji (AUTISM)

    Je, umesoma kitabu hiki? Angalia picha ya gamba (cover) lake kitabu hicho. Na, je, unajua maana ya usonji? Kwanza tuujue usonji (Kiingereza, autism) Usonji ni hali ya kuwa na changamoto za akili zinazoathiri uwezo wa mtu kuwasiliana na kuchangamana na wengine, pamoja na kuwa na tabia ya...
Back
Top Bottom