Habari zenu champs!!!
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema aisee naombeni msamaha wakuu najua kwa namna moja ama nyingine tulikwaruzana sana humu kutokana na kupitishana misimamo na ikifikia kutukana kiukweli mtu mzima akikosea huchutama kwa hiyo mie ndugu yenu nimekuja kuwaombeni msamaha...