Malezi Bora yanajumuisha wazazi wote wawili kuishi pamoja na kushirikiana.
Ili kuibadilisha Tanzania yetu ni vyema malezi ya watoto yaanze tokea mtoto anapo zaliwa. Malezi bora yanatokana na wazazi wote wawili (baba na mama) kushirikiana, kushirikiana Katka malezi ya mtoto itasaidia mtoto...