Naendelea kushuhudia kuongezeka kwa matukio ya baadhi ya familia watoto hasa wengine wakiwa na miaka 17 wakishirikishwa katika kusuluhisha migogoro ya wazazi wao.
Inawezekana hali hii inatokana na kukosekana kwa watu wazima katika familia au viongozi wa dini wakikosa kuaminiwa na baadhi ya...
Wadau,
Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi?
Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie.
Shukrani sana.
Wanaukumbi.
Qatar inakanusha rasmi ripoti zinazosambaa kuhusu kuwatimua Hamas na kufafanua msimamo wao kuhusu upatanishi huo.
Msemaji Rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje: Juhudi za Qatar kupatanisha Hamas na Israel zimesitishwa kwa sasa.
Dk. Majed bin Mohammed Al-Ansari, msemaji rasmi wa Wizara...
Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA.
Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Enzi za Nyerere huu Mwaliko ulikuwa ni wa Tanzania ila hizi zama za Utandawazi tunaalikwa kijumuiya zaidi.
Tuzidi kumuombea Rais Ruto akatuwakilishe vizuri na zikitokea fursa za kupeleka manjagu au Wajeda kama Haiti atutonye jirani zake.
Nawatakieni Sabato Njema 😄😄
Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency-PBPA) na Mwanasheria Mkuu wa...
Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini.
Daa inauma Sana aisee
---
Mapendekezo au hoja mbili kati ya tatu ilizowasilishwa na Tanzania kwenye Mahakama ya Kimataifa ya...
Saudi Arabia kicks off Ukraine talks that exclude Russia
Some 40 countries will attend a meeting in Jeddah to discuss a set of common principles to end the war in Ukraine.
Saudi Arabia has kicked off a weekend summit in Jeddah, in which senior officials from some 40 countries – but not Russia –...
Hili swala la DEE PEEE Weldi na Jamhuri limeleta fursa ya tafakuri jadidifu.
Iweje kila mkataba tunayoingia na makampuni makubwa haya, yote yana kipengele kinachosema kukiwa na mgogoro mahakama yatakayotumika ni ya kimataifa na sio ya Tanzania.
Tunakumbuka mhe Rais Mwenye alinukuliwa kusema...
Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:
1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
Habari za majukumu wadau,
Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano.
Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
Wakuu habari,
Inatambulika kuwa inapotokea shida ya kutoelewana kwa wanandoa wawili na kutaka kusuluhisha migogoro yao, hushauriwa kuendea mabaraza ya usuluhishi ya ndoa;
BAKWATA (kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria za kiislamu) na Taasisi za kikristo au kanisani ( kwa ndoa iliyofungwa kwa sheria...
ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania.
kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya kwenda mahakamani tuanzia kwa msuluhishi tukapelekwa mahakama ya usuluhishi tukapewa jaji mstaafu...
Kwanza alikuja na Slogan ya The Return of Champions akimaanisha kuwa Yanga SC imerudi na kweli tumeona imerudi Kweli kusubiria kucheza Ligi ya Mchangani (Ligi Kuu)
Pili Klabu ya Yanga SC ilipokuwa ikienda nchini Nigeria kucheza mchezo wake wa Marudiano na Rivers United FC Haji Manara...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watapendekeza kuanzisha chjombo cha msuluhishi wa masuala ya kikodi ili kuepuka kero zilizopo.
Mwigulu amesema hali ilivyo kwa sasa mtu akifanyiwa makadirio ya kodi na asipokubaliana nayo, analazimika kumfuata huyohuoyo aliyemkadiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.