Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa.
Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo...