10 September 2024
Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania;
"Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
canada
marekani
matukio ya utekaji
mauaji
norway
tamko la eu
tanzania
uingereza
ulaya
ulaya na marekani
umoja wa ulaya
uswisi
utekaji
utekaji na mauaji
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Ufaransa na Uswis hapa nchini.
Waziri wa Mambo ya Nje ma Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameagana na aliyekuwa Balozi wa Ufaransa Mhe. Nabil Hajlaoui na Balozi wa Uswisi Mhe. Didier Chassot ambao wamemaliza muda wao wa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi na mwakilishi wa wakudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kabla ya...
Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia.
Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 15 hadi 16 katika Hoteli ya Bürgenstock Hotel nchini humo.Taarifa iliyotolewa na...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa majukumu yake ya Urais wa IPU.
Dkt. Tulia amepokewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Dkt...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, Kaimu Mkuu wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva, Balozi Hoyce Temu na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi wakishiriki na kufuatilia Mkutano wa 74 wa Kamati Tendaji ya UNHCR unaofanyika...
Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland.
Timu mojawapo iliyokabidhiwa vifaa ni timu ya riadha ya JWTZ inayokwenda kushiriki mashindano ya Majeshi (CISM)...
Urusi ilidai kuwa sababu kuu za kujaribu kuparamia Kyiv ilikua ili kuzuia Ukraine kujiunga NATO, kwamba hairuhusu majirani zake waingie NATO, sasa mpaka hapo Finland wamejiunga NATO, haya Uswisi nao ambao hawapo mbali na Urusi, wamejiunga NATO, sasa kwa kifupi NATO inampumlia Mrusi...
WAFADHILI KUTOKA USWISI WACHIMBA VISIMA VYA MAJI 4 JIMBO LA ULANGA, MOROGORO
Wakazi wa wilaya ya Ulanga wamepata visima vya maji vinne kutoka kwa wafadhili kutoka nchini Uswisi ambao wamekuwa wakifanya hivyo kila mwaka. Mwakilishi wa wafadhili hao Bi Rubab Jawad Aziz amesema hatua hiyo imekuja...
AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA
Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye na ofisi yake katika mapambano ya kuhakikisha wilaya ya Ulanga inamaliza Changamoto ya upatikanaji...
KATIBU MKUU SAIDI YAKUBU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI KUTOKA UBALOZI WA USWISI, HISPANIA NA UNESCO.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi kutoka Ubalozi wa Uswisi na Hispania nchini Tanzania na Wataalam...
Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea...
Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
21 May 2022
Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika kongamano la Davos World Economic Forum The World Economic Forum.
Agenda nyingi zitajadiliwa...
Mwili wa marehemu Dr. Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM.
Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni.
Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa...
Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga, maarufu kama "Mike" amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za Kifedha na Masoko ya Mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika.
Mikola Mahiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.