Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa)
Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba...
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake...
Yamemkuta jamaa huko mtaani.
Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.
Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada...
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako?
Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni...
Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA.
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina. Mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha. Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja...
Wakuu kwema.
Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi.
Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza.
Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda...
Binafsi ntazingatia yafuatayo:
Je, nimelipa mahali kwao?
Je, mimi ninachepuka?
Je, mahali ni kiasi gani nilizotoa
Je, tumezaa watoto?
Je, tuna mali kiasi gani?
Je, huyo bwana namfahamu?
NB: Baada ya kuzingatia hayo ntaanza mchakato wa kumdanganya tuuze mali kwa kumuaminisha kama kuna inshu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.