Nije Moja Kwa Moja kwenye mada. Nahitaji kujua ni maeneo au eneo gani iwe Eilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka, na Wakazi wake wanatumia maji ya kisima, mito au maziwa.
Nahitaji hii Kwa ajili ya utafiti wa kielimu.