Nimekuwa nikisikia mwanafunzi wa Chuo kikuu anafanya utafiti au umefanya ugunduzi wa gari, au pengine ndege au hata helcopter bila kusema ni nini cha ziada kilichopo au kitakachokuwepo na kunipa wasiwasi kama vijana wetu wanajua tofauti ya kugundua na kujifunza. Kwa ufahamu wangu, kutengeneza...