Kumekuwa na mitazamo ambayo inaambatana na lawama kutoka kwa watu tofauti tofauti wakiendelea kuwalaumu ndugu zao au wazazi wao eti kwanini wamekuja mjini hasa Dar es Salaam miaka ya nyuma ambayo kila kitu kilikuwa cheap (rahisi) na hawana maeneo, nyumba Wala ukwasi ambao wanadai Kwa miaka hiyo...
Miaka mitatu ilopita nilikua vijijini nilishangaa kuona watu wamewekeza sana mjini wengine wana nyumba huku mjini halaf kule kijijini pesa wanaingiza kutoka mashambani yani mazao.
Kabla sijaanza harakati zangu namimi nikahamia mjini gafla, Leo nimewaza kua sijui nirudie tena japo hata kwa...
Kama bado unajitafuta kimaisha, hakikisha unaishi kwenye haya mambo matano (5);- SHAUKU, UDADISI, UKALI, KUBADILIKA, & USIRI.
1. SHAUKU
Kama unajitafuta ni vyema kuwa na shauku kubwa ya kufika mahali unapopataka. Usibaki kuwa na ndoto pekee ya mdomoni, akilini au kwenye makaratasi - bali anza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.