Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star
1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken Gold ya tajiri wa madini Kenneth, Fountain Gate nayo ina boss wake. Kuna timu za taasisi...