Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
Tajiri namba moja duniani Elon Musk hajaishia hapo kwenye kumiliki utajiri wa $269.8 billion amethibitisha kuwa anataka kuongeza zaidi na kuweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza ambaye ni TRILIONEA duniani. Elon Musk mwenye umri wa miaka 53, amethibitisha kuwa mpango wake ni kutumia fedha hizo...